Ingia / Jisajili

Ni Viumbe Wako

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 222 | Umetazamwa mara 1,156

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni viumbe wako, Umependezwa nao, Twakushukuru Mungu kwa rehema na baraka zako x 2. Mashairi: 1.Umewaumba wewe kwa upendo wako mkuu, Na tena ukawajalia, Uhai nguvu na Maarifa. 2. Wamekuwa baraka kwetu sisi asante Baba, Ni kazi ya mikono yako, Viumbe bora shambani Mwako. 3. Asante Mungu wetu Jina lako lihimidiwe, wewe ndiwe unayetoa, Wewe ndiwe unaye-twaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa