Mtunzi: Africanus Nyambala
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 565 | Umetazamwa mara 2,010
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Ni wakati wakutubu dhambi zetu, wakutubu dhambi zetu, tutubu na kuiamini Enjili X2.
1. Tugeuze mwenendo wetu tuyatubu makosa yetu, tumekosa.
2. Uturehemu ee Bwana sisi tumetenda dhambi, tumekosa.
3. Tufanye toba ya kweli kwa kujuta makosa yetu, tumekosa.
4. Siyo kwa kurarua mavazi tubadili matendo yetu, tumekosa.