Mtunzi: Paulo Evance Manyika
> Mfahamu Zaidi Paulo Evance Manyika
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Evance Manyika
Makundi Nyimbo: Anthem | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Paulo Evance Manyika
Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 32
Download NotaNiacheni mimi niende nikatoe sadaka kwake Mungu wangu yeye aliyeniumba×2. Ingawa ni kidogo Bwana ataipokea mikononi mwake.