Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakuliwa mara 2,738 | Umetazamwa mara 6,969
Download Nota Download MidiNIJAPOSEMA KWA LUGHA.
Nijaposema kwa lugha, za wanadamu, Nijaposema kwa lugha za Malaika, kama sina upendo, (mimi) si kitu mimi, Kama sina upendo si kitu mimi.
Mashairi:
1.Hata nikitoa mali zangu, kwa masikini, kama sina upendo si kitu mimi.
2.Hata nijitoe mwili wangu, katika moto, kama sina upendo si kitu mimi.
3.Hata Imani yangu, ikiwa timilifu, kama sina upendo si kitu mimi.