Ingia / Jisajili

Nikupe Nini

Mtunzi: Thomas P Kessy
> Mfahamu Zaidi Thomas P Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P Kessy

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 15,916 | Umetazamwa mara 29,371

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza x2
Chakukupendeza chakukupendeza chakukupendeza chakupendeza siku hii ya leo x2

  1. Ninacho kidogo chakukupendeza ewe Mungu wangu. Nilichandaa siku hii ya leo ndicho hiki Bwana.
     
  2. Sadaka ya leo ni sadaka safi isiyo na doa.Twakuomba Bwana twakuomba  Bwana upendezwe nayo.
     
  3. Twatoa mkate twatoa divai upokee Bwana. Fedha nazo Bwana tunakutolea upokee Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Krop Geofrey Sep 08, 2024
Kazi safi

Gasper Sep 23, 2020
Inapendeza sana

Toa Maoni yako hapa