Mtunzi: JOSHUA WAFULA
> Mfahamu Zaidi JOSHUA WAFULA
> Tazama Nyimbo nyingine za JOSHUA WAFULA
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Joshua Wafula
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download NotaNIKUSHUKURU VIPI
Nikushukuru vipi ee Mungu wangu kwa wema wako Bwana maishani mwangu. Nasema leo Asante Mungu Asante Bwana Asante ee Mungu Asante. Ninashukuru, Asante Mungu Asante, Bwana Asante, mimi nasema asante