Ingia / Jisajili

Nikutazame Uso

Mtunzi: Otto A.mshami
> Mfahamu Zaidi Otto A.mshami
> Tazama Nyimbo nyingine za Otto A.mshami

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: otto mshami

Umepakuliwa mara 204 | Umetazamwa mara 910

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Mimi nikutazame uso wako katika haki, niamkapo nishibishwe kwa sura yako

MASHAIRI:

1.Ee Bwana kwa mkono wako uniokoe na watu ,watu wa dunia hii ambao fungu lao li katika maisha haya.

2.Matumbo yao wayajaza,wayajaza kwa hazina yako,hushiba wana ,huwaachia watoto wao akiba zao.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa