Ingia / Jisajili

Nimechagua Chaguo Jema

Mtunzi: V. P. Kwembe
> Tazama Nyimbo nyingine za V. P. Kwembe

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,312 | Umetazamwa mara 3,113

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

V. P. KWEMBE.

1. Nimechagua chaguo jema chaguo la moyo wangu mimi katika shida na raha zangu Yesu Kristu kimbilio

Kiitikio:

Nitaimba imba imba A A A A Nitacheza cheza cheza na Yesu mimi.

Nitangaze duniani  A A A A Yesu Kristu ndiye mwana wa Mungu kweli.

Na mataifa wajue yeye ni mwokozi wa duniani

Na mataifa wajue yeye ni mwokozi wa duniani

2. Hebu wenzangu eleza wewe chaguo lako ni nani? (sasa) katika shida na raha zako wamkimbilia nani? x2  Nitaimba ...

3. Kila kukicha mwenzangu kwa mganga mbona hauchoki (kwenda), umesahau ya kuwa Yesu Kristu ndiye kimbilio x2 Nitaimba...

4. Mwili wako umejaa hirizi na madawa ya mganga (naomba) yaache hayo ee ndugu hebu mrudie Yesu Kristu x2 Nitaimba...

                                                                 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa