Ingia / Jisajili

Nimefufuka

Mtunzi: Frey Juma
> Mfahamu Zaidi Frey Juma

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 784 | Umetazamwa mara 1,778

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Nimefufuka na ningali pamoja nawe (umeniwekea) umeniwekea mkono wako (Bwana) maarifa hayo ni ya ajabu Aleluya. X2.

1. Wewe Bwana umenichunguza na kunijua nilivyo, Wewe wajua kuketi kwangu nakuondoka kwangu, Umelifahamu wazo langu tokea mbali.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa