Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 24
Download NotaNIMEFUFUKA NA BADO
Nimefufuka na bado ningali, pamoja nawe x2 Umeniwekea, mkono wako, maarifa hayo ni ya ajabu kwangu, Aleluya x2
1. Ee Bwan mchungaji wangu popote wanifahamu, waniepusha dhambini, katika njia zangu