Ingia / Jisajili

NIMEKUKIMBILIA WEWE BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 153 | Umetazamwa mara 561

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nimekukimbilia wewe Bwana nisije nikahaibika, nisije nikahaibika maishani mwangu. 1.Kwa haki yako uniponye uniokoe, unitegee sikio lako uniopoe. 2.Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakako kwenda siku zote. 3.Ndiwe genge langu na ngome yangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi. 2.Uwe kwangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa