Ingia / Jisajili

Nimeona Maji

Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo

Makundi Nyimbo: Miito | Pasaka

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 9,553 | Umetazamwa mara 16,371

Download Nota
Maneno ya wimbo

NIMEONA MAJI

Nimeona maji yakitoka hekaluni upande wa kuume Aleluya ||x2

  1. Na watu wote waliofikiwa na maji hayo wataokoka nao wakasema aleluya
  2. Atukuzwe Baba pia na Mwana atukuzwe Roho Mtakatifu kama mwanzo sasa na milele

Maoni - Toa Maoni

prosper Dec 17, 2016
Ubarikiwe

Toa Maoni yako hapa