Ingia / Jisajili

Nimevunja Mkataba

Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 1,943 | Umetazamwa mara 3,905

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

juma Michael Jun 20, 2018
Ningependa kuwa pongeza kwa kazi nzuri mnaofanya nyinyi watanzania. Kwaya yetu haija wahi kosa nota ya zaburi ya kila ijumaa na jumapili tunakuwa na misa takatifu. Pili, kuna huu wimbo uitwao Nimevunja mkataba, uliorekodiwa na kwaya kuu ya mtakatifu cecilia, kuna sehemu moja hasa katika sauti ya tatu haimo kwenye nota niliotowa kaitka tovutu yenu. wakati mwingi mimi hitatizika kwa kuwa wakwaya huyaongeza sehemu nyingine ambayo huwa sioni kwenye nota hiyo. Ningewasihi sana ninyi pia muitazame kwa kina, hasa Bw. Kombo anayehusika sana katika nyanja hiyo. Sina la ziada, mjue huku Kenya mmwtusaidia sana katika kufanikisha litajia an kuisifu Mungu. Tunawaenzi sana kwa kazi nzuri mnayofanya, Heko kwenu. Amina, Amina Mungu apewe sifa na kutukuzwa.

Toa Maoni yako hapa