Mtunzi: M.A. Mutuku
> Mfahamu Zaidi M.A. Mutuku
> Tazama Nyimbo nyingine za M.A. Mutuku
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alex Mutuku
Umepakuliwa mara 224 | Umetazamwa mara 812
Download Nota Download Midi(Naam, nimewalisha kwa unono wa ngano na kuwashibisha asali iliyotoka mwambani) x2
1. Nimewalisha kwa ngano, kwa ngano iliyo bora, 'kawashibisha asali, iliyotoka mwambani.
2. Mimi ndimi chakula, chakula kile cha uzima, kilichoshuka kutoka, kutoka kule mbinguni.
3. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, naye apate uzima, uzima ule wa milele.