Mtunzi: Mgombera C
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,403 | Umetazamwa mara 7,470
Download Nota Download MidiNimewalisha kwa unono wa ngano Aleluya Aleluya Aleluya. Nakuwashibisha kwa asali Aleluya X2
1. Ningewadhili adui zako kwa upesi na juu yawatesi wako ningegeuza mkono wako
2. Wamchukiao Bwana wangenyeyekea mbele zake bali wakati wao ungedumu milele