Mtunzi: Philipo Casmiry
> Mfahamu Zaidi Philipo Casmiry
> Tazama Nyimbo nyingine za Philipo Casmiry
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Philipo Casmiry
Umepakuliwa mara 1,089 | Umetazamwa mara 2,640
Download NotaNimewlisha nimewalisha kwa unono wa ngano nimewalisha kwa unono wa ngano*2 Pia na kuwashibisha kwa asli itokayo mwambani*2
1. Nimewalisha kwa kiini cha ngano kwa kiini cha ngano na kuwashibisha kwa asali itokayo mwambani mwambani
2. Na mimi ndimi Bwana Mungu wako Bwana Mungu wako niliyekupandisha kutoka misiri