Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 6,114 | Umetazamwa mara 15,320
Download Nota Download MidiNimewalisha nimewalisha kwa kiini cha ngano na kuwashibisha na kuwashibisha asali itokayo mwambani x2
1. Nimewalisha kwa kiini cha ngano na kuwashibisha asali itokayo mwambani
2. Mababu zetu uliwalisha jangwani uliwanyeshea mana wakala wakasaza