Mtunzi: Nicodemus Muhati
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicodemus Muhati
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Nicodemus Muhati
Umepakuliwa mara 474 | Umetazamwa mara 1,716
Download Nota(Ewe Yesu, nimezitafakari fadhili zako
Katikati ya hekalu hekalu lako
kwa wingi wa wema wako ninakuabudu, ninakushukuru
Toka moyoni mwangu, (ewe) Bwana nitakusifu milele)*2
1. Ewe Bwana Mungu wangu, ninakuabudu
Umekuwa tegemeo maishani mwangu
Ninakushukuru Mungu wangu
2. Ewe Mungu, Mungu wangu, Mungu wa huruma nyingi
umekuwa msaada wangu mimi
3. Hakika wema nazo fadhili zitanifuata
Zitanifuata siku zote za maisha yangu
Nami nitakaa, nyumbani kaa nyumbani
Kaa nyumbani mwa Bwana milele