Mtunzi: A. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Kazi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,299 | Umetazamwa mara 4,368
Download Nota Download MidiNIMRUDISHIE BWANA NINI KWA UKARIMU WAKE WOTE, ALIYONITENDEA MIMI NIMRUDISHIE BWANA NINI. ("NITAKIPOKEA KIKOMBE (CHA WOKOVU) NAKULITANGAZA JINA LAKE" X2)
1. INATHAMANI MACHONI PA BWANA, MAUTI YA WACHA MUNGU WAKE.
2. EE BWANA HAKIKA MIMI NI MTUMISHI WAKO, UMENIFUNGUA VIFUNGO VYANGU.
3. NITAKUTOLEA DHABIHU ZA KUSHUKURU, NA KULITANGAZA JINA LA BWANA.
4. NITAZIONDOA NADHILI ZANGU KWA BWANA, NAAM MBELE YA WATU WAKE WOTE.