Ingia / Jisajili

Nimrudishie Bwana Nini

Mtunzi: Lukando Andrew Basil
> Tazama Nyimbo nyingine za Lukando Andrew Basil

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 11,964 | Umetazamwa mara 20,789

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio; Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote.

Alionitendea mimi Nimrudishie Bwana nini.

Nitakipokea kikombe (cha wokovu),

Nakulitangaza jina lake (jina lake).

  1. Ina thamani machoni pa Bwana, mauti ya wacha Mungu wake.
  2. Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako, umevifungua vifungo vyangu.
  3. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru, na kulitangaza jina la Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Vashiti Ngoroi Sep 12, 2023
Pongesi

Janerose John Dec 25, 2017
Ni kitu kizuri sana mimi nafurahia sana mbarikiwe kwa kuanzisha hii

Prudence Rweyemamu Dec 17, 2016
Napongeza sana mwanzilishi wa kitu hiki. Kinatusaidia kwa kiasi chake sisi waalimu wa kwaya. Ila tuboreshe kwa kuweka picha za watunzi.

Toa Maoni yako hapa