Mtunzi: Soni D. Bhimenya
> Mfahamu Zaidi Soni D. Bhimenya
> Tazama Nyimbo nyingine za Soni D. Bhimenya
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Ubatizo
Umepakiwa na: pius kabanya
Umepakuliwa mara 424 | Umetazamwa mara 1,611
Download Nota Download MidiNimtume nimtume nani unitume unitume mimi, unitume mimi unitume mimi unitume Bwana, nitakwenda kutangaza neno lako wewe x2
1. Nitakwenda kutangaza neno lako wewe, mataifa wasikie wakufuate wewe.
2. Utakwenda kutangaza neno neno langu, usiogope ogope kwa ajili ya hao.
3. Mimi nipo mimi nipo nitakuokoa katika mashaka na shida na shida zako.
4. Usiogope wewe wewe ni mtoto mimi nitakufundisha utakayosema wewe.