Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Noel Ng'itu
Umepakuliwa mara 749 | Umetazamwa mara 3,704
Download Nota Download MidiNOEL NG’ITU
ST. PHILOMENA CHOIR
DAR ES SALAAM
JULY 2010.
Nimtume nani aende ulimwenguni? Unitume mimi (niende) niende ulimwenguni. Nimtume nani atangaze neno langu? Unitume mimi (niende) nikatangaze neno lako. Unitume mimi duniani nikatangaze neno lako mataifa yakufuate wewe.
1. Kabla hujaumbwa mimi nalikujua nalikuita uwe mtume wangu.
2. Utakwenda kote kuhubiri neno usiogope kwa ajili ya hao.
3. Mimi nipo nawe nitakuongoza katika shida nipo pamoja nawe.
4. Na usiogope nitakufundisha utakayosema kwao mataifa.