Mtunzi: Erick Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mkude
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 3,006 | Umetazamwa mara 5,316
Download Nota Download MidiERICK L. MKUDE
MTWARA
DESEMBA 2006
1. Nimwonapo Yesu kalazwa msalabani, ninaona huruma na majonzi yananijaa x 2
Oneni alivyoteswa, taji miba wamemvika mkuki moyo wamemchoma kweli ni huzuni (naona) ninaona huruma na majonzi yananijaa x2
2. Nimwonapo Yesu akipigwa mjeledi...
Ningekuwa mimi ninge himili vipi...
3. Nimwonapo Yesu chini ya msalaba...
Uzito wa dhambi zangu wa muangusha...
4. Nimwonapo Yesu akilia kwa kiu...
Wakampa siki kumwongeza mateso...