Mtunzi: Peter Deus Mkali
> Mfahamu Zaidi Peter Deus Mkali
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Deus Mkali
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Mika Vincent
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 18
Download Nota Download MidiNinaizunguka altare yako, na kuifukiza kwa harufu nzuri, kukutolea sadaka ya shukrani, ikupendeze Mungu Baba, ninakusihi uipokee Baba, kama ya Melkisedeki.
1. Ninakutolea matoleo yangu, uyapokee Baba uyabariki.
2. Mkate na divai mazao ya shamba, uyapokee Baba uyabariki.
3. Ninayaleta maisha yangu kwako, uyapokee Baba uyabariki.