Mtunzi: Fr Cletus C. Mzeru
> Mfahamu Zaidi Fr Cletus C. Mzeru
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Ivan Kahatano
Umepakuliwa mara 731 | Umetazamwa mara 1,753
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Ninajongea mezani pako Bwana kuupokea mwili na damu yako. Ee Bwana, Ee Bwana, wewe ni chakula cha kweli (Bwana) unishibishe
Bwana kwa karamu yako. Ee Bwana Ee Bwana wewe ni kinywaji cha kweli (Bwana) unishibishe Bwana kwa karamu yako. (Organ Pause)
1. Nakuja Bwana, kukupokea ukae ndani yangu na mimi ndani yo.
2. Karibu Bwana moyoni mwangu, ukae nami Bwana kwa milele yote.
3. Wewe mzabibu nami ni matawi, nikae ndani yako nipate kuzaa.