Ingia / Jisajili

Ninayo Matuamini

Mtunzi: Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Mfahamu Zaidi Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Eric Mwaniki

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 56

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NINAYO MATUMAINI 1. Safari inapokuwa ngumu ninakumbuka uliponitoa siku niliyokuita, ninaona uwezo wako na upendo wako unanijaza matumani ya maisha Ninayo matumaini yakuwa yote yatabadilika siku za usoni, yote yatakuwa wazi nikivumilia, nikitumaini na kumngoja Bwana *2 2. Zipo siku ambazo maisha siyaelewi hata mi' mwenyewe sijielewi kabisa, kwani ninafanya kinyume na matarajio ninajaribu lakini bado ninashindwa 3. Kisha nikitazama watu wengine ni hivyo dunia kote mambo ni yale yanafanana ila ninatumaini kwake Mungu mwenyezi ambaye hashindwi ni mwenywe uwezo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa