Ingia / Jisajili

NINAYO SABABU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 60 | Umetazamwa mara 170

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NINAYO SABABU 1. Ninayo sababu ya kukushukuru Mungu maishani mwangu, umenitowa mbali, umenifuta machozi umenirudishia furaha, nitakusifu milele. 2.Umenijibu kwa wakati nisio zani umenirudishia, tabasamu langu, umeniheshimisha umenipa nguvu ya kukutumikia, nitakusifu milele. 3.Maisha yangu yalipo yumbayumba nilionekana mimi kama sifai kitu, marafiki na wandugu waliponisahau kweli e Bwana, wewe hukunitupa. R/Ninayo sababu, ya kukushukuru, maishani mwangu nitakusifu milele,ninayo furaha, ninayo amani, ninanesanesa, nitakusifu milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa