Ingia / Jisajili

Ninyi Si Wawili Tena

Mtunzi: Edwin Alto Komba
> Mfahamu Zaidi Edwin Alto Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Edwin Alto Komba

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Edwin Alto Komba

Umepakuliwa mara 1,625 | Umetazamwa mara 3,635

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Ninyi si wawili tena bali mwili mmoja katika Kristu,

Aliyoyafunga Mungu mwanadamu asiyafungue x2

Mabeti:

  1. Sasa mmefunga ndoa mbele ya altare, [Mungu ni shahidi yenu, mpendane kweli] x 2
  2. Ewe mume ukumbuke mapatano yenu, [Umheshimu mke wako, umlinde daima] x 2
  3. Nawe mke ukumbuke kumpenda mumeo, [Umtunze na umheshimu siku zenu zote] x 2
  4. Nasi tunawatakia heri na baraka, [Mungu na awajalie mfike mbinguni] x 2

NB: Katika kila beti Sauti ya pili inaingia kwa kuanzia na neno lililopigiwa msitari.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Frank Ngesela Feb 13, 2024
Nimeupenda sana wimbo, Hakika una ujumbe ulioshiba Ahsante kwa kuwepo Mungu aendelee kukutunza mwalimu

Toa Maoni yako hapa