Ingia / Jisajili

Niraha Kumwimbia Bwana

Mtunzi: THOHOMA
> Tazama Nyimbo nyingine za THOHOMA

Makundi Nyimbo: Anthem | Ekaristi / Komunio | Epifania | Juma Kuu | Kristu Mfalme | Kupaa kwa Bwana | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mama Maria | Matawi | Mazishi | Miito | Misa | Moyo Mtakatifu wa Yesu | Mwaka Mpya | Mwaka wa Familia (2014) | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Mwanzo | Ndoa | Noeli | Pasaka | Pentekoste | Sadaka / Matoleo | Shukrani | Tenzi za Kiswahili | Ubatizo | Utatu Mtakatifu | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: THOHOMA THOHOMA

Umepakuliwa mara 184 | Umetazamwa mara 225

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Niraha tu (niraha)niraha kumwimbia Bwana niraha kumwimbia Bwana njoni tumwimbie ×2 Kwa maana anayeimba vizuri huyo anasali anasali mara mbili nabaraka za Mungu ana zipokea mara mbili 1.kwa Yesu kuna ama ni kuna upendo tulio ndani ya Yesu tunaupendo 2. Kwa Yesu kuna furaha kana upole tuliondani ya Yesu tunaupole 3. Kwa Yesu ni utii na unyenyekevu tulio kwa Yesu tuna unyenyekevu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa