Ingia / Jisajili

Nitafurahi Sana Katika Bwana

Mtunzi: Eng. Marchius Tiiba
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Marchius Tiiba

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria | Zaburi

Umepakiwa na: Eng. Epimachius Tibaijuka

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 14

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako. (K) Nitafurahi sana katika Bwana. 2.Naam, nimwimbie Bwana, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa