Ingia / Jisajili

Nitaimba kwa furaha

Mtunzi: Ephraim Alberto Ntagunama
> Mfahamu Zaidi Ephraim Alberto Ntagunama
> Tazama Nyimbo nyingine za Ephraim Alberto Ntagunama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Ephraim Alberto

Umepakuliwa mara 435 | Umetazamwa mara 1,744

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitaimba kwa furaha nitaimba kumsifu bwana nitasifu jina lake bwana kwazaburi nitamuimbia nitaimba kwafuraha nitacheza kwafuraha nitamuimbia bwana milele yote

1.Kwanza mungu nasema asante kwa memamengi unayo nijalia mimi tena umenipa mimi na utashi wa kujua mema mabaya kati ya viumbe vyote

2.Upendo wako kwetu sisi  niwaajabu hata tunapo kukosea wewe unatusamehe hivyo nitafanya yakupendezayo milele yote


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa