Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 908 | Umetazamwa mara 4,272
Download Nota Download MidiKIITIKIO; Tumsifu Bwana Mungu, Bwana mi nitakusifu, nafsi ikusifu
Nitakusifu Mungu wangu ( Mungu wangu) muda wote
ninao ishi ( duniani ), nitamwimbia Mungu wangi mimi
ningali hai x 2
Nitaimba (mimi) nitacheza (nitaimba) nitamwimbia
Mungu nikiwabado ni hai, mimi ningali hai x 2
SHAIRI; 1.Huwapa wenye njaa chakula na kufungua wafungwa,
nitamwimbia Bwana muda ninaoishi.
2.Huinua walioinama na kupenda wenye haki,
nitamwimbia Bwana muda ninaoishi
3.Huifadhi wageni hutegemeza yatima wajane,
nitamwimbia Bwana muda ninaoishi