Ingia / Jisajili

Nitakipokea Kikombe

Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Filbert Thoy

Umepakuliwa mara 2,310 | Umetazamwa mara 5,965

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nitakipokea kikombe cha wokovu nakulitangaza jina la Bwana x 2

  1. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea, kwa ukarimu wake wote alionitendea. 
     
  2. Inathamani machoni pa Bwana mauti ya wacha mungu  wake bwana hakika  kamili ni mtumishi  wako umevifungua vifungo vyangu, umevifungua vifungo vyangu.

HITIMISHO

Nitakutolea dhabihu ya kushukuru e Mungu wangu na kulitangaza jina la Bwana ee Mungu wangu nitaziondoa nadhiri zangu kwa bwana e Mungu wangu bwana wangu.

NB:Baada ya kuimba mashairi yote mawili, Malizia wimbo kwa kuimba HITIMISHO!!


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa