Ingia / Jisajili

Nitakuimbia Milele

Mtunzi: Joshua Sarutwe
> Tazama Nyimbo nyingine za Joshua Sarutwe

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 874 | Umetazamwa mara 2,867

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu x 2 
Kinywa changu kitaimba kinywa changu kitaimba kulisifu jina lako ee mwenyezi Mungu x 2
nitaimba nitaimba nitaimba nitaimba milele milele milele nitakuimbia miele x 2

  1. Nitaimba kuyatangaza matendo ya Bwana kwa mataifa, nitaimba kuitangaza injili ya Bwana kwa mataifa.
     
  2. Bwana Mungu amewashusha wanaojikweza amewashusha, Bwana Mungu awewakweza wanaojishusha amewakweza.
     
  3. Sauti ya kukuimbia Bwana na umenipa asante Bwana, Nitaimba mataifa wakujue Ee Bwana milele yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa