Ingia / Jisajili

Nitakushukuru

Mtunzi: Gauthier Kahilu
> Mfahamu Zaidi Gauthier Kahilu
> Tazama Nyimbo nyingine za Gauthier Kahilu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gauthier Kahilu

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 85

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi. 2× Nitasujudu nikilikabiri hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, 2× 1.Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote. 2.Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa