Ingia / Jisajili

Nitakushukuru Kwa Kuwa Nimeumbwa

Mtunzi: E.b. Masalamnda
> Mfahamu Zaidi E.b. Masalamnda
> Tazama Nyimbo nyingine za E.b. Masalamnda

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Benny Weisiko

Umepakuliwa mara 917 | Umetazamwa mara 3,160

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 12 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitakushukuru kwa kuwa kwa kuwa nimeumbwa x2 1.Ee Bwana umenichunguza na kunijua wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu umelifahamu wazo langu tokea mbali umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu umeelewana na njia zangu 2.Maana wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu uliniunga tumboni kwa mama mama yangu nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha matendo yako matendo ni ya ajabu 3.Na nafsi yangu unajua sana kifuta yangu haikusitirika kwako nilipoumbwa kwa siri nilipoungwa kwa ustadi pande za chini ya nchi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa