Ingia / Jisajili

Nitakushukuru Mungu

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Zaburi | Shukrani

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 311 | Umetazamwa mara 1,203

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. NITAKUSHUKURU MUNGU. Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia Zaburi x2 Nitasujudu nikilikabili, nikilikabili Hekalu lako takatifu x2. 1. Nitalishukuru jina lako kwa ajili ya Fadhili zako, (na uaminifu wako x2). 2. Nilipokuita uliniitikia (ukanifariji nafsi yangu x2) na kunitia nguvu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa