Mtunzi: Francis S Danga
> Mfahamu Zaidi Francis S Danga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Fadhili Komba
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 4
Download Nota Download MidiEe Mungu, Mungu wangu nitakutafuta mapema, Nafsi yangu, nafsi yangu inakuonea kiu.
Nao mwili wangu unakuonea shauku, mwili wangu ee Mungu wangu unakuonea shauku