Mtunzi: Alexander Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Alexander Ndibalema
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,109 | Umetazamwa mara 2,693
Download Nota Download MidiEe Mungu Mungu wangu nitakutafuta mapema nafsi yangu inakuonea kiu, ee Mungu wangu nafsi yangu inakuonea kiu x 2.
Mashairi;
1. Mwili wangu wakuonea shauku, Ee Mungukatika nchi kame na chovu isiyo na maji.
2. Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu pako nizione nguvu zako na utukufu wako.
3. Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai midomo yangu itakusifu