Ingia / Jisajili

Nitamwimbia Mungu Wangu

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya | Shukrani

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 469 | Umetazamwa mara 2,203

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitamwimbia Mungu wangu nyimbo za furaha, nitapiga makofi, nitapiga Kengele, nitacheza Kinanda Zeze na Baragumu, nimsifu Mungu wangu ningali hai.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa