Ingia / Jisajili

Nitatembea Mbele Zake Bwana

Mtunzi: Lexon Laymond
> Mfahamu Zaidi Lexon Laymond
> Tazama Nyimbo nyingine za Lexon Laymond

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Lexon Laymond

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitatembea mbele zake Bwana katika nchi yao wenye uhai x2

1. Heri yao walio na mwenendo mwema, waendao katika sheria za Bwana.

2. Heri wazitiio shuhuda zake wamtafutao Bwana kwa moyo wote.

3. Pia hawakutenda uovu wao wamekwenda katika njia za Bwana.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa