Ingia / Jisajili

Nitautafuta

Mtunzi: Frater Teilo Mukani

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Frt. Teilo Mukani

Umepakuliwa mara 262 | Umetazamwa mara 918

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Moyo wangu umekuambia Bwana uso wako nitautafuta
Usinifiche uso wako Ee Bwana usinifiche uso wako ee Bwana

  1. Ee Bwana kumbuka rehema na fadhili zako maana zimekuwako tokea zamani.
     
  2. Adui zetu wasifurahi kwa kutushinda Ee Bwana wasifurahi kwa kutushinda Ee Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa