Ingia / Jisajili

Nitawalisha Kondoo Wangu

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 475 | Umetazamwa mara 2,178

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu,
Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu;
//: Nami nitawalaza asema Bwana, nami nitawalaza asema Bwana://

1.Nitaweka juu yao mchungaji mmoja, mtumishi wangu Daudi naye atawachunga, atawachunga na kuwa mchungaji wao.

2. Mimi Bwana nitakuwa Mungu wao na mtumishi wangu Daudi ni mkuu kati yao, Mimi Bwana nimenena, nimenena hayo.

3. Nitafanya nao agano, agano la amina, nitawabariki pamoja katika kilima changu, nitawanyeshea mvua kwa majira yake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa