Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 1,456 | Umetazamwa mara 4,266
Download NotaKiitikio:
Nitayainua macho yangu niitazame milima, "msaada wangu utatoka wapi" msaada wangu ukatika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi x2
Mashairi:
1. Asiuache mguu wako usogezwe, yeye akulindae asisinzie
2. Naam hata sinzia wala hata lala, yeye aliye mlinzi wa Israeli.
3. Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli wa mkono wako, mkono wako wa kuume
4. Jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku, Bwana atakulinda na mabaya, atakulinda na nafsi yako.