Ingia / Jisajili

Nitayakiri maasi yangu

Mtunzi: Bosco Vicent Mbuty
> Mfahamu Zaidi Bosco Vicent Mbuty
> Tazama Nyimbo nyingine za Bosco Vicent Mbuty

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Bosco Mbuty

Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 915

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nami nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana wangu, naye Bwana atanisamehe uotovu wangu na dhambi yangu.nalikujulisha dhambi yangu wala sikuuficha upotovu wangu.Ndiwe sitara yangu wewe Bwana, utanihifadhi na mateso yangu.Heri aliyesamehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa