Ingia / Jisajili

Niumbie Moyo Safi

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 755 | Umetazamwa mara 3,511

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Ee Mungu Mungu wangu niumbie moyo safi) x 2
(Nioshe uovu wangu nitakase dhambi zangu fanya upya Roho iliyo tulia ndani yangu) x 2

  1. Ee Mungu niumbie moyo safi, uyafute makosa yangu.
     
  2. Usinitenge na uso wako, Bwana wala Roho wako Mtakatifu usiniondolee.
     
  3. Unirudishie furaha ya wokovu wako, unitegemeze na Roho ya wepesi.
     
  4. Nitawafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako.                                                           

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa