Ingia / Jisajili

Niwie radhi bwana

Mtunzi: Stephen Charo
> Mfahamu Zaidi Stephen Charo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Charo

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Stephen Charo

Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,425

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Naungama (mimi) uovu wangu, unisamehe bwana, niwie radhi bwana *2 Niponye majeraha ya moyoni bwana, niponye bwana, (mimi) majeraha (yangu) ya moyoni (mwangu) nifanye kiumbe kipya *2 1.Ni mnyonge mimi ni dhaifu sina siha moyoni mdomo wangu ni upanga unachoma 2.Hukujia wale wenye haki, wanyoofu wa moyo, bali wao wenye dhambi wapate kutubu 3.Mimi Bathlomeo naja kwako, ni kipofu wa moyo, kiumbe dhaifu mtenda maovu 4.Naam bwana wangu nimekuja, niguse uniponye, tena unijaze roho mtakatifu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa