Ingia / Jisajili

Njoni Tuabudu

Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 2,009 | Umetazamwa mara 4,256

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Barnabas Kaihula Jan 15, 2018
Tumsifu Yesu Kristu. Kiukweli nawapongeza wote mliojaliwa vipaji vyenu vya utunzi wa nyimbo. Nyimbo zenu zimetusaidia sana. Baadhi ya watunzi makosa sio makubwa. Wakati mwingine unakuta wimbo ni mzuri ila umetungiwa kwenye key ambayo si yenyewe, aidha saiti iko chini sana, au iko juu sana. Zaidi namwomba Mungu azidi kuviinua vipaji vyenu, Amina.

Toa Maoni yako hapa