Mtunzi: Sweetbert Mkwela
> Mfahamu Zaidi Sweetbert Mkwela
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: SWEETBERT MKWELA
Umepakuliwa mara 765 | Umetazamwa mara 2,134
Download Nota Download MidiNjooni tumsifu Mungu kwa kinanda na kinubi, njooni tumsifu Mungu kwa kinanda na kinubi×2 Ameumba mbingu na nchi (pia) wanyama na mimea (Bwana) tumpe sifa (kwani yeye) ndiye mkuu ×2
MASHAIRI:
1. Maisha yetu yamo mikononi mwake, njoni tumrudishie sifa Mungu wetu.
2. Mbingu na nchi na vyote vilivyomo ameumba Mungu wetu, njoni tumsifu.