Mtunzi: Erick Daniel Kassindi
> Mfahamu Zaidi Erick Daniel Kassindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Daniel Kassindi
Makundi Nyimbo: Miito | Ubatizo
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 192 | Umetazamwa mara 1,185
Download NotaNjoni njoni njoni njoni watoto wapendwa.Bwana amewateua ili muwe wateule wake,Leo sasa mumekuwa wanae pia viumbe wapya zitunzeni sasa kwa uaminifu ahadi za ubatizo
1.Leo sasa mmeupokea mwanga wa kristo ingieni sasa zizini mwake Bwana Mungu wetu.
2.Mumekuwa wana kanisa na wana wa Mungu karibuni sasa zizini mwake Bwana Mungu.
3.Mwanga mlioupokea ni ishara ya kwamba mkimwita Mungu ataitika nakuwapa nguvu.
4.Muwe nayo matendo mema maishani mwenu mkimwita Mungu ataitika nakuwapa nguvu.